Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Mhe. Lu Youiqing akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi Mhe. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara( kulia) vifaa vitakavyosaidia katika sekta ya Utamaduni.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akijaribu moja ya Vifaa alivyopokea kwa niaba ya Serikali kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China ikiwa ni kudumisha na kuendeleza ushirikiano baina ya Serikali ya Tanzania na China.Vifaa hivyo vitasaidia katika sekta ya Utamaduni, anaeshuhudia ni Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youiqing. (Picha na Benjamin Sawe).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...